maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,122
- 4,857
We endelea kujidanganya ivo ivo.. Narudia tuma miamala kama pesa huna.
Abadilishe na jina HiloWe endelea kujidanganya ivo ivo.. Narudia tuma miamala kama pesa huna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri WA kidomo nzege bila Shaka wewe ni domo nzege
kuna uwezekano nikamshawishi na akanipenda ingekua kama unavofikiria wewe hii dunia isingefika hapaHadi akupende na yeye
[emoji1] [emoji1] [emoji1] watu mnavituko kweli kweliJinyonge kama babu yake na huyo binti (Mkwawa) alivyojinyonga. Atakuona wewe ni jasiri atakukubalia.
kuna uwezekano nikamshawishi na akanipenda ingekua kama unavofikiria wewe hii dunia isingefika hapaHadi akupende na yeye
kuna uwezekano nikamshawishi na akanipenda ingekua kama unavofikiria wewe hii dunia isingefika hapaHadi akupende na yeye
kuna uwezekano nikamshawishi na akanipenda ingekua kama unavofikiria wewe hii dunia isingefika hapaHadi akupende na yeye
sawa nipe mbinu nyingineWe endelea kujidanganya ivo ivo.. Narudia tuma miamala kama pesa huna.
Sent using Jamii Forums mobile app
daaah hii ipo bongo tuJinyonge kama babu yake na huyo binti (Mkwawa) alivyojinyonga. Atakuona wewe ni jasiri atakukubalia.
Niku dokezee kitu kijana mwenzanguWakuu mimi kijana, mtoto, mdogo wenu maji @ya Gundu nimependa tena,Ni miaka mitano imepita tangu niwe kwene mahusiano yale ya usirious kabisa
Na niliapa sitokuja kupenda tena baada ya kuumizwa na binti mmoja wa kinyakyusa jina lipo kwene mabano
Tuache hayo na tujikite sana kwene hili nnaloenda kuliwasilisha saa hii. Kuna binti mmoja hivi wa kihehe ametokea kunichanganya akili sana amenirudisha kwene ulimwengu wa kupenda,nimejikuta nampenda sana afu sina sababu naombeni mnisaidie mbinu ya kumpata maana mi kwa uwezo wangu naelekea kukata tamaa
Nimemfuata zaidi ya mara moja hata kunipa nafasi ya kuongea nae hanipi nikaona isiwe kesi nkaenda Kwa njia nyingine ya kumpelekea vizawadi bado ananitolea nje yaani inaonesha wazi ananichukia na mimi kiukweli nampenda sana
Ni hilo tu naombeni mnisaidie mbinu ili nimpate uyu binti
Sent using Jamii Forums mobile app