Three idiot
Senior Member
- Jul 14, 2016
- 188
- 154
miss kupatwanilijifunza in a hard way ukiona mwanaume hakupigii simu like siku nzima jua huna chako kaa pembeni kabisa
umesema kweli mkuuPole Dada...!
Mapenzi huwa hayalingani hata siku moja, Lazima kuna mmoja hupenda zaidi kuliko mwingine.
Bahati mbaya inakuja pale tofauti ya upendo wenu inapokuwa kubwa sana, ndivyo mmoja huumia sana.
Simply, mapenzi sio kusema nakupenda, mapenzi hujionesha wazi yenyewe,
Ukiona mapenzi yanakuumiza, ni wazi kuwa hupendwi,
mapenzi huwa hayaumizi mtu, mapenzi huleta raha.
nimepatwa sio mchezo hata nashindwa kulala yaanimiss kupatwa
nilijifunza in a hard way ukiona mwanaume hakupigii simu like siku nzima jua huna chako kaa pembeni kabisa
je kama anapiga yeye tu kila siku?Kwan lazima aanze mwanaume kukupigia ?
Thank for ur adviceTake a deep breath nd breath out thrice...then listen at good music,non-emotional one,think of something different apart frm yo relationship...then sleep.
With no good sleep you ruin almost everthing.Try yo best nd learn to ignore things tht hurt you,life is too short anyway...Thank you.
mpige chin huyonimepatwa sio mchezo hata nashindwa kulala yaani
True and trust .km VIP mpge chini weka record kumpta jfmiss kupatwa
unajua maana ya kupatwa wewe?mpige chin huyo
naww bado macho meupe muda huuTrue and trust
je kama anapiga yeye tu kila siku?
ni hatareee naona mwaka huu wako kwelunajua maana ya kupatwa wewe?
Yaap can Mke nilale,? Na Mani bor nicheki ....humnaww bado macho meupe muda huu