Brownj
Senior Member
- May 8, 2017
- 139
- 80
Kwanza kabisa nawashukuru sana wana jamii forum kwani mara nyingi nikihitaji kufaham au kujifunza au kupata mawazo zaidi katika jambo fulani Jamii forum inanitosheleza
Mwenzenu naombeni ushauri
Nimehitim kidato cha sita mwaka 2015 nikajiunga chuo NIT mabibo lakin hali ilinielemea sana kwan boom sikuwahi kupata kwani taarifa zangu zilienda kwa kuchelewa Loan board nlichelewa kujiunga kwasababu za kiuchumi hivyo baada ya tabu na shida nyingi nikaamua kupostpone mwaka wa masomo nikarudi mtaa nmejikusanya kiasi na lengo langu nlitaka niaply diploma nisome kozi yoyote ya afya lakini bado naona ntaenda kupata shida kama ileile tu kwan naweza kulipa ada lakin ntakula nn ntalala wapi
Na ku, resume masomo NIT siwezi kwan computer science siiwezi kabisa nlisoma PCB advance
Nashukuru mungu nimemwaga zege sana na vibarua vingine nmepata pesa sasa nataka nirud kusoma je nkasome nn wadau najitegemea mm kama mm kwani family yangu ni maskini sana siwez hata kuwaomba ata buku,