Naombeni majibu ya hivi vipimo

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
Hivi vifuatavyo:
1. Cholesterol liquic- 4.6 mmo/L
2. Creatinine Jaffe- 112.1 umo/L
3. Urea liquiUV- 5.9 mmo/L
4. Rheumatic factor-negative
5. ASOT- O/S
6. RBG- 7.8 mmo/L
NB: Hicho namba 6 ni baada ya kula
Naomba kuwasilisha
 
Hivi vifuatavyo:
1. Cholesterol liquic- 4.6 mmo/L
2. Creatinine Jaffe- 112.1 umo/L
3. Urea liquiUV- 5.9 mmo/L
4. Rheumatic factor-negative
5. ASOT- O/S
6. RBG- 7.8 mmo/L
NB: Hicho namba 6 ni baada ya kula
Naomba kuwasilisha

Hapa kwenye RBG naona umevuka range ambayo ni 7.0!

Fanya mazoezi kisukari kinakunyemelea mkuu!
 
Back
Top Bottom