Naombeni Mabango ya kunifariji

Naombeni Mabango ya kunifariji

Hayo
tapatalk_1542729253778.jpeg
 
Nenda bar kapige pombe na nyama choma uondoe msongo wa mawazo
 
Kuna maisha mkuu lazima yaendelee bada ya kuachwa au kuachana haujazaliwa nae huyo

Mungu kaumba kusahau utamsahau tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom