Naombeni kuuliza jamani

Naombeni kuuliza jamani

Kama umefaulu hesabu vizuri, B.A.M basi ujiandae kusoma Accounts, economics, sales and marketing, Banking na nyingine nyingi, ngoja nikimaliza pika ntaziongezea
 
Wewe nina uhakika umesomea shule ya kata! Nasema kwa uhakika mkubwa sana! Kama umefika probably form 4 hujui with HGE combination unaweza some kazi gani, huna kitu, I am telling you!
huu mchezo hauhitaj hasira umepanic bro sasa kuna advance au vyuo vya wanafunz wa vyuo vya kata hasira za nin sasa au ndo nyie wa UDOM
 
Wewe nina uhakika umesomea shule ya kata! Nasema kwa uhakika mkubwa sana! Kama umefika probably form 4 hujui with HGE combination unaweza some kazi gani, huna kitu, I am telling you!
kama siku hizi kazi zipo kwenye syllabus ya form four hapo sawa,Ila usidhani kila mtu ameishi mazingira uliyoishi wewe,Think Big
 
Mh! ngoja nikae kimya tu mkuu,nakukumbuka vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Mkuu tunaeleweshana mkuu, ni muhimu kutoa ushauri huku unazingatia na vigezo husika, we call it relevant advise.
 
form six?

Hope umeona umuhimu wa kuuliza matokeo. Tunahangaika kutoa ushauri kumbe mtu anaulizia akasome kombi ipi!

apana mkuu form 4 ndo maana nkataka kuuliza nijue nilitaka nisome combination hyo advance sa nlitaka kujua ntakuja kuwa nan baadae kama niualim bora nikomae na HGK niachane na HGE

Ushauri mzuri ni ukakomae na HGK. HGE itakuzingua.
 
Back
Top Bottom