Naombeni kutolewa ushamba

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
Hivi, wanaofanyaga Phone Sex wanafanyaga nini na kwa nini. Manake sipati picha utamu unapatikana wapi. Masuala ya pinch your ass, sijui feel me in sijui touch nanilii mie singeweza. I want the real deal ama nisepe. Kitu gani cha kuchakachua utamu.
 
Imaginations...if you dont know how to play with this....huwezi kuelewa!
 
Hivi, wanaofanyaga Phone Sex wanafanyaga nini na kwa nini. Manake sipati picha utamu unapatikana wapi. Masuala ya pinch your ass, sijui feel me in sijui touch nanilii mie singeweza. I want the real deal ama nisepe. Kitu gani cha kuchakachua utamu.

Vina utamu wake bidada!!! Hebu tushuke kule chini nkwambie!!!
 
Mhhh, kumbe ndivyo ilivyo? Hebu funguka zaidi maana inaonekana wewe ni Dr. wa haya maswala.....

Hivi, wanaofanyaga Phone Sex wanafanyaga nini na kwa nini. Manake sipati picha utamu unapatikana wapi. Masuala ya pinch your ass, sijui feel me in sijui touch nanilii mie singeweza. I want the real deal ama nisepe. Kitu gani cha kuchakachua utamu.
 
Last edited by a moderator:

Hahah..kama staki nataka vile.
 
Maana yake wataka kujua jinsi ya kuitesa akili yako (torture your mind).
Ukimudu kufanya hivyo,wazi utaweza kufanya hata na dolls, wa jinsia yako n.k
Nakushauri:si nzuri kwa afya ya akili yako...fanya mapenzi halisi.
 
Hivi, wanaofanyaga Phone Sex wanafanyaga nini na kwa nini. Manake sipati picha utamu unapatikana wapi. Masuala ya pinch your ass, sijui feel me in sijui touch nanilii mie singeweza. I want the real deal ama nisepe. Kitu gani cha kuchakachua utamu.

ha ha ha ha ha ha! habari ya wewe?.... hivi huz wako amesharudi kutoka ile trip yake?
 
Hivi, wanaofanyaga Phone Sex wanafanyaga nini na kwa nini. Manake sipati picha utamu unapatikana wapi. Masuala ya pinch your ass, sijui feel me in sijui touch nanilii mie singeweza. I want the real deal ama nisepe. Kitu gani cha kuchakachua utamu.

Karucee ngoja totoo alale nitakupigia "phone" kukupa muongozo!! :A S 11:
 
Mhhh, kumbe ndivyo ilivyo? Hebu funguka zaidi maana inaonekana wewe ni Dr. wa haya maswala.....

no mkuu. Mie si fundi ndio maana nikauliza.
 
Last edited by a moderator:
Imaginations is the mother of inventions..given the difficulty times imaginations can bring to you the unthinkable.
However, sometimes it sounds like creating emotions and feelings from thin air...
Kiufupi ni sawa na kula ugali kwa picha ya samaki...
 
Hivi, wanaofanyaga Phone Sex wanafanyaga nini na kwa nini. Manake sipati picha utamu unapatikana wapi. Masuala ya pinch your ass, sijui feel me in sijui touch nanilii mie singeweza. I want the real deal ama nisepe. Kitu gani cha kuchakachua utamu.

so na ndomu nayo hutimii maana sii inachakachua utamu
 
Maana yake wataka kujua jinsi ya kuitesa akili yako (toruture your mind).
Ukimudu kufanya hivyo,wazi utaweza kufanya hata na dolls, wa jinsia yako n.k
Nakushauri:si nzuri kwa afya ya akili yako...fanya mapenzi halisi.

i agree with you. 100%
 
umenikumbusha wimbo flani wa alicia keys. Can we do the unthinkable?......hiyo mi hapana weza. I'd rather abstain.
 
why resort to imagination?

Because imagination go together with feelings...ngoja nikupe mfano, mara nyingi mwanaume anapoona mwanamke mzuri sometimz he can put her into his mind and start to imagine if may be they r on bed.... and from there huko ikulu inakua tabu tupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…