Kupigiana simu ni jukuma la wapenzi husika, tatizo lenu wasichana hufikiri ni jukumu la mwanaume tu, nyie ni kubeep na kuomba salio,kutolewa out,na mizinga kibao; suala la kipato ni la pande zote; je ukimpigia simu hapokei? au unasubiri kupigiwa tu! ukituma text hakujibu? au unasubiri kutumiwa tu! kumtoa out hataki? au unasubiri kutolewa ww tu! kwa mwanaume mwenye malengo ya kweli na mwanamke ni lazima umpime katika hali zote ili uone response yake, hiyo pia ni sehemu muhimu katika mapenzi naye anakuchunguza so badala ya kulaumu we muonyeshe utofauti ipo siku atakwambia maana ya anachokifanya; mpigie simu mara kwa mara, mtumie text na ikiwezekana mrecharge kabisa ndani ya mwezi mmoja/miwili utaona mabadiliko. Ukiamua na wewe kukaa kimya na kuanza kulaumu atakuacha kweli! mambo yamebadilika dada usikariri, nakushauri kwa uzoefu maana hata mimi tabia hizi za wadada huniboa sana! Linda ulichonacho sasa usikipuuzie utaja jilaumu.