Naombeni kujuzwa

Naombeni kujuzwa

Rahma2

Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
40
Reaction score
8
Bf wangu amekuwa na tabia ya kukaa kimya znaweza pita hata cku mbili, akija kuku2mia sms kama anam2mia dada yake vile, je kuna jipya hapa nalingoja?
Ushauri jamani naombeni co vjembe...
 
Rahma2 jamaa anakupenda hiyo ni hofu yako dada.. kwa maelezo zaidi folo mi oni piemu
 
Last edited by a moderator:
Mmmh ishara si nzuri...muda gani mko pamoja?
 
Bf wangu amekuwa na tabia ya kukaa kimya znaweza pita hata cku mbili, akija kuku2mia sms kama anam2mia dada yake vile, je kuna jipya hapa nalingoja?
Ushauri jamani naombeni co vjembe...

Mchunguze...............na je hapo awal mawasiliano yalikuwaje?
 
ni mara ngapi anafanya hvyo,au ni kwa muda gan umeona hlo likijitokeza!
 
Huenda ni tabia yake ulikuwa bado hujajua na sasa mmeshazoeana, sidhani kama hilo ni tatizo la kutishia mahusiano yenu. Angalia usijemkaribisha mdudu wa hofu akatawala. Jiamini
 
Jifunze kujua alama za nyakati, pia angalia kipindi cha mpito na uchunguze kazi na shughuli zake kwa wakati huu, hapo utapata jibu, kwa sababu huenda kwa sasa anashughuli nyingi, labda kuna tatizo lina msibu, na pia huenda ameamua kufanya hivyo ili aone unalipokeaje?
 
Kaa nae umuulize, tatizo ni nini, kama alikuzoeza sms kila ck na simu kila siku why kabadilika. Isije ikawa keshatafutiwa mwanamke huko kwao, akili mkichwa bibie
Ameanza hv karibuni baada ya kurudi likizo kwao
 
Mchunguze...............na je hapo awal mawasiliano yalikuwaje?

Mwaka wote mkiwa ktk mahusiano mna mpango gn?jitahid kumsoma maana yanaumiza sn haya mapenz km hujawa makin coz ww unaweza ukawa unaXpect kitu fulan alafu ikawa tofauti.Kaa chin umchunguze huyo mtu then utajua tuu.Maji na mafuta havichangamani.
 
Thanx! Ntajitahd nmchunguze...
 
ushaachwa shosti...wenzio wanapakua na kula
 
Ninaposikia mwanamke analamika juu ya mahusiano yake roho huwa inaungua kama nylon..uh! Anyway fuatilia nyendo zake ukibaini ni tofauti sema "Rest in peace relationship"

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom