Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,793
- 8,734
Una bishara fulani sasa unapenda kuiweka kwenye mtandao iwe kama ebay/alibaba, nachoomba kujuzwa hapa
1. faida ya hii biashara ya e commerce
2. changamoto za hii biashara
3. hizo website za kutangaza biashara zinafunguliwa wapi ule mfanano uwe kama ebay, alibaba..
4. upatikanaji wa wateja katika hii biashara