Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,768
Utupie tujikumbushe.Huu hapa. Sikiliza kuanzia 5:20
Pia muuliza swali achukue hapa.
Utupie tujikumbushe.Huu hapa. Sikiliza kuanzia 5:20
Pia muuliza swali achukue hapa.
Hapana siyoNi wa Banza Stone unaitwa "Sweet baby" nadhani ilikuwa project ya TOT maana kuna kina Abdu Misambano humo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, umeturushia HEWA? Mbona hatuuoni?Huu hapa. Sikiliza kuanzia 5:20
Pia muuliza swali achukue hapa.
Hao wanaitwa chuchu sound walikimbiza miaka ya 2001“Aliingiza mwenyewe akashindwa kuchomoa”
Mkuu napita tu,ila nakumbuka hizo verse na naukumbuka huo wimbo, ila sijui nani ameimba na pia sifahamu nyimbo inaitwaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
nyie vijana wa miaka ya hivi karibuni hamuwezi elewa. upo na ulikuwa burudani kwenda mbele.leo nilikuwa kwa daladala fulani wakaupiga
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Mkuu, umeturushia HEWA? Mbona hatuuoni?
Kweli kabisa, eti "analia nilimchapa"[emoji2][emoji2]Tena eti miaka ya 2000 dah [emoji23] [emoji23]. Kumbe ufirauni ulikuwepo toka zamani akina diamond wanamalizia malizia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niusikilize maana bado siamini kama kumeimbwa maneno hayo ya mikanda kuingia kwenye deki[emoji2][emoji2]Huu hapa. Sikiliza kuanzia 5:20
Pia muuliza swali achukue hapa.
Update.
Sorry umegoma kutumwa hapa. Ninao, ni mp3. Unaitwa sweet baby wa Tot
[emoji848]nataka niusikilize hapa ,siaminiiHuo wimbo nakumbuka pia.
Tena eti miaka ya 2000 dah [emoji23] [emoji23]. Kumbe ufirauni ulikuwepo toka zamani akina diamond wanamalizia malizia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo haina nyimbo za kibongo za zaman mzeeNgoja nikupe maujanja mtu wangu popote pale ulipo ukasikia wimbo ukaupenda usijue ni wimbo gani na wa msanii gani, nikuambie tu kuna app moja bomba sana inaitwa SHAZAM inakusaidia kugundua wimbo na msanii husika aliyeimba.
Chakufanya ..Ingia Google download "Shazam .apk..ukimaliza ifungue kisha Tap to shazam umemaliza kazi baada ya sekunde kadhaa itakupa majibu.
Nb; inatumia Internet.
Nimepitia kuanzia.comment ya kwanza, naweza kusema kwa uhakika wewe ndiye umejibu sahihi. Kweli huyo ni marehemu Ramadhani Masanja aka Banza Stone akiwa ndani ya TOT Band. Haya maneno ya mafumbo mafumbo walikuwa wanayaiga kutoka kwa Chuchu Sound Band chini yake marehemu Yusuphu Chuchu aka Mzee Chuchu.Rutunga M, Ni wa Banza Stone unaitwa "Sweet baby" nadhani ilikuwa project ya TOT maana kuna kina Abdu Misambano humo
Sent using Jamii Forums mobile app