Naombeni kujua hili baada ya kifo cha marehemu mnajimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni kujua hili baada ya kifo cha marehemu mnajimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, May 20, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Baada ya kifo cha Mnajimu aliyekuwa maarufu Africa Mashariki na Kati,Je? Ule ukurasa wa mambo ya ijuwe"NYOTA YAKO" kwenye gazeti la Nipashe itaendelea kuchapishwa wakati Mnajimu katangulia mbele ya haki? Twendeni pamoja wanaJF!
   
 2. yakub

  yakub Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hw can u think of zat when 2morrow z the judgement day
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Mtabiri maarufu wa mambo ya Nyoto afrika mashariki Sheikhe Yahya Hussein Amefariki dunia Leo baada ya kuugua kwa muda mrefu.
  acheni kuamini ktk mambo ya nyota ktk ulimwengu wa leo wa sayansi na teknohama.
  Wataibuka wengine nao watadanganya kama yy.
   
 4. A

  Anold JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mrithi si yupo? maana hata wakati alipokuwa amesafiri kwa ajili ya matibabu nje ya nchi utabiri uliendelea kuwekwa kwenye kurasa kama kawaida:nono:.
   
Loading...