Naombeni kufahamishwa

Naombeni kufahamishwa

samoa

Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
16
Reaction score
0
Naombeni kujulishwa kwa yeyote anayejua sehem ilipo mahakama ya hakimu mkazi wa wilaya ya ilala
 
Jitabulishe kwanza,
kwamba wewe ni nan? unatokea wapi? shida yako nini.

dunia imebandilika bhana,,,!
 
Jitabulishe kwanza,
kwamba wewe ni nan? unatokea wapi? shida yako nini.

dunia imebandilika bhana,,,!

Una maswali mengi kwan.we n.polisi???? We msaidie tu kama unafaham ilipo mim sipo dar kwa kweli hivo sjui
 
Back
Top Bottom