Naombeni kazi

Tarakwa

Tarakwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2017
Messages
249
Points
250
Tarakwa

Tarakwa

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2017
249 250
Salam wakuu!
Tafadhali husika na mada hii. Mimi mwanachuo mwaka wa kwanza na nitamalaliza mtihani tarehe 23 mwezi huu. Nitakuwa na likizo ya karibu miezi 4.

My general qualities:
1. Computer literate ( basic computer application)

2. Naweza kuandaa Business ideas/ Project proposals and appraisals kulingana na uhitaji wa mtu

3.Naweza kuuza duka ( either la jumla au la rejareja)

4. Nina afya njema na ninaweza kazi zinazohitaji nguvu kama vile kupakia na kupakua mizigo, kufyatua matofali, kukatia ng'ombe n.k ilimradi mkono uende kinywani

Niko Arusha lakini Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote.

Tafadhali kwa wenye uhitaji wa nguvukazi, nipo Hapa:

0753907688
0621149433

Note: TANGU NIJIUNGE JF NIMEKUWA MKWELI NA MUWAZI (hata mkikagua threads zangu zote)
HIVYO, MIMI NI MWAMINIFU.

Ahsanteni.
 
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
3,272
Points
2,000
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
3,272 2,000
ila sijaielewa avatar yako, huoni kuwa inakushushia cv
 
moyafricatz

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Messages
1,423
Points
2,000
moyafricatz

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2015
1,423 2,000
Madai yake akimaliza tu apate kazi....anatupanga mapema
 
Tarakwa

Tarakwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2017
Messages
249
Points
250
Tarakwa

Tarakwa

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2017
249 250
Jamani bado sijapata kibarua. Naombeni mnisaidie
 

Forum statistics

Threads 1,315,679
Members 505,292
Posts 31,866,577
Top