Natafuta kazi, niko Mwanza Kijana miaka 28

Gustavo Gaviria

JF-Expert Member
Nov 19, 2018
630
1,109
Habari za mida hii, napatikana mwanza nina uhitaji na kazi elimu yangu ni kidato cha sita ila sichagui kazi kikubwa iwe tu ya halali.

Nina uzoefu na matumizi ya computer.

Basic troubleshooting laptop and desktop problems.

Naweza kufanya kazi katika duka ama taasisi upande wa marketing and sales.

Naweza kufit kwenye kazi yoyote ambayo ni halali, nafundishika na kuelekezeka. Tafadhali mwenye nafasi ya kuniajiri naomba tuwasiliane PM. Ahsante.
 
Back
Top Bottom