Naombeni kazi

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,738
17,955
Salam wakuu!
Tafadhali husika na mada hii. Mimi mwanachuo mwaka wa kwanza na nitamalaliza mtihani tarehe 23 mwezi huu. Nitakuwa na likizo ya karibu miezi 4.

My general qualities:
1. Computer literate ( basic computer application)

2. Naweza kuandaa Business ideas/ Project proposals and appraisals kulingana na uhitaji wa mtu

3.Naweza kuuza duka ( either la jumla au la rejareja)

4. Nina afya njema na ninaweza kazi zinazohitaji nguvu kama vile kupakia na kupakua mizigo, kufyatua matofali, kukatia ng'ombe n.k ilimradi mkono uende kinywani

Niko Arusha lakini Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote.

Tafadhali kwa wenye uhitaji wa nguvukazi, nipo Hapa:

0753907688
0621149433

Note: TANGU NIJIUNGE JF NIMEKUWA MKWELI NA MUWAZI (hata mkikagua threads zangu zote)
HIVYO, MIMI NI MWAMINIFU.

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom