Naombeni kazi Dodoma

Naombeni kazi Dodoma

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
571
Reaction score
548
Habari za asubuhi wapendwa.

Kijana mpambanaji miaka 28 nimekuja Dodoma kupambana ila hali imekuwa tete nimeshindwa kiukweli naomba kama kuna mwenye ramani ya kazi au kibarua dodoma naomba msaada.

Angalau niweze kumudu gharama za kukaa hapa Dodoma. Nipo tayari kuwasaidia fundi au kufanya kazi yoyote halali ili tu mkono uende kinywani.

Naombeni msaada wenu nimekwama.

Napatikana Dodoma kwa 0623593536
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom