Mwenye kujua link au website nayoweza kudownload circuit nzuri za aplifier,booster,tv na inverter .na je naweza kupata equvalent book cha transistor na ic kwenye mtandao aksanten
mkuu vitabu mm ninavyo 2 fanya unitafute kama upo dar nikupatie bureee kabisa coz sina ishu navyo now.
mda wowote naweza kuvitupa.
au kama upo mkoani mm naweza kukutumia ww utatoa tu garama ya kuvisafirisha mpaka mahali ulipo.

download circuit maker uwe unatengeneza diagrams mwenyewe
Tafuta /Download Protius itakuwasaidia kwenye mengin sana