Siri Sirini
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 547
- 199
Mimi nimesoma, ila kiwango changu cha elimu hakikidhi haja ya swali nililoulizwa, lakini wenzangu mmesoma, so nisaidieni swali hili, "Hivi, aliyechora ramani ya dunia, alikuwa amekaa wapi?" Naombeni mnisaidie
Uncle tunasubiri jibu!
Naona umempa Hi tu kiteeth !
Uncle tunasubiri jibu!
Naona umempa Hi tu kiteeth !
Huyo atakuwa alikaa kwenye earth
Mimi nimesoma, ila kiwango changu cha elimu hakikidhi haja ya swali nililoulizwa, lakini wenzangu mmesoma, so nisaidieni swali hili, "Hivi, aliyechora ramani ya dunia, alikuwa amekaa wapi?" Naombeni mnisaidie
Dah!! Basi alikuwa amekaa.... amekaa..... Nikipata jibu nitasemaMbona unaonekana kama una guess? Are you sure ?
alikaa kwenye kiti...
Hahahahahaa,
Kuna satellite imaging.