Naombeni first aid kwa hili li PC please

Naombeni first aid kwa hili li PC please

Ndekirhepva

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2012
Posts
371
Reaction score
44
aje wadau??
Nisaidieni plz,nahitaji sound drivers za Toshiba satellite M105-S3064,nime google hadi nahisi kuchoka,mwenyw kuweza nipatia direct download,natanguliza shukrani
 
tafuta driverpack package yoyote,nenda kwenye torrentz.com,search for driverpack solution,i download then run,itaweka hizo drivers,au uliza watu wa IT,huwa hawakosi hizo CD,itakuwa mwisho wa matatizo,maana ina kila aina ya drivers.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom