Kwani maneno ya mtu kama yule jamaa anajiita Ngawila sijui mifuko si inashiba kabisa?
Any way! Pumba naamin masoko ya nafaka nyingi tu kama tandika, mbagala, Tandale. Inshort no formula! Utachukua pumba mbali kwa nafuu ya buku au jero ambayo utairudisha kwenye usafirishaji. Do site inspection around your enviroment