Naombeni caption kali kuambatanisha na picha yangu kwenye mitandao ya kijamii

Joined
Dec 13, 2023
Posts
88
Reaction score
343
Huwa sina tabia ya kujipost status, Facebook, au Instagram lakini ikitokea nimebahatisha picha moja kali siwezi kutulia nayo kwenye simu.

Sasa wakuu naombeni caption kali ambayo ipo neutral na inspiring sio ya chatgbt kama wanavofanya wengi
Inaweza kuwa quote au maneno machache tu yanayofit picha yoyote.

Natanguliza shukrani.
 
Tuone hio picha kwanza
 
Back
Top Bottom