Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,126
- 62,138
Nashukuru sana, nina ufaulu wa daraja ASawa
Nataka niwe napakia abiria kutoka moscow, dodoma, delhi n.kIngia sportybet kuna Aviator /kindege
unataka niende chuo kipi mkuu?Chuo Cha...??
Una uhakika unatumia dawa kwa usahihi
Huyo inawezekana akawa amesomea chuo kisichojulikana.Juzikati kuna bibi mmoja alikua rubani wa ungo, aliangushia ndege kwenye anga la jela ya wanaume pale Kanegere Masumbwe...... kilicho tokea misijui..😜
Kuna baadhi course lazima ufike chuoni mkuuMambo ya 'distance learning' mkuu, mbona wengi tu wanapata digrii zao kwa 'online'
Mimi nimeamua kujikita kwenye urubani tu.
Kuna baadhi course lazima ufike chuoni mkuu
Vizuri mkuu. Lakini usifikiri kuendesha ndege ni kama baiskeli unakanyaga pedeli safari inaanza
Nina ufaulu wa A mkuuMkuu ninakndege changu kwenye uofisa ubashiri wngu kila nkijalibu holaaa,.ntmie vyeti vyako nkuajili..
Ebu niwekee kapicha nione kama ina gia boksiNjoo babu anayo
Kila la Kheri MkuuAcha zako wewe, mbona mjumbe wangu wa nyumba kumi amehitimu phd yake ya mambo ya jamii juzi kwa mtandao?