Shafii the Great
Member
- Jan 18, 2014
- 36
- 1
kuna madame mmoja anadai eti ananipenda while am still a student na nikimkataa huwa ananipa punishment kwa kosa dogo tu,mpaka imefikia wakati nimemchoka! nifanye nini?!
Uko darasa la ngapi?
Unasoma kidato cha ngapi?
Tema mate tumchapee
nishatema maana ananibore ile mbaya
Niunganishe naye nikuondolee huo mzigo.nishatema maana ananibore ile mbaya
Kama vipi hama shule tu.kuna madame mmoja anadai eti ananipenda while am still a student na nikimkataa huwa ananipa punishment kwa kosa dogo tu,mpaka imefikia wakati nimemchoka! nifanye nini?!
form 5
Halafu ukute madame mwenyewe ni ticha wa baioloji...
lol.....mic u miingi kaka
Miss u pia kalumbu...habari ya huko lakini?
salama kaka, nilikuja mjini kirisimasiii
We mbayaaaa...ndio hata hukunishtua loh!!