Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,371
- 111,681
Duuu natamani na mie niwe narusha hayo maji chwiiiiiiiiiiiiiiiiii dah huwa wanayatoa wapiii
Wanayatoa Ruvu Chini...
Duuu natamani na mie niwe narusha hayo maji chwiiiiiiiiiiiiiiiiii dah huwa wanayatoa wapiii
mkuu sio maji ya dawasco bhana, subiri nakuwekea picha uone mwenyewe...
Hebu weka picha mkuu ututoe ushamba kina siye...:shocked:
Nimekumisa jamani umenigayaajee,uje basi nikurushie majiiii nimeshayapataa mie haina haja ya pichaa
Kugayaje ndio kufanya nini tena?
Mi sihitaji kurushiwa maji ila nataka tu kuona yanarushwaje...
kugaya ni neno la huku kanda ya ziwa... kama vile umenisusa huko pwani...
Shukrani mkwe, nilikuwa hata sijui maana yake
Kugayaje ndio kufanya nini tena?
Mi sihitaji kurushiwa maji ila nataka tu kuona yanarushwaje...
Shukrani mkwe, nilikuwa hata sijui maana yake
Nilikua nataniaaa sina maji mie
We wa pwanii eeee
Wa kisiwani...
Yaan majibu bana haya mi wa baraa
Haya bi mkubwa, salamu zao wote huko bara, sijui lini mtajenga barabara kuja huku kwetu
Hakuna barabara huko kwenu!?mbunge hayupo au toka mpe ushindi kahamia mjini kawatelekezaa,duuu polenii
Huku zipo ila tunataka itayotuunganisha na huko bara kutokea huku