Naomben ushauri kuhusu mdogo

Naomben ushauri kuhusu mdogo

sasa anayepaswa kusema mimba ni ya nani ni jamaa au Dogo?
Acha kutuchosha akili weka mambo hadharani upate msaada!
Naic ujanielew mzee mdogo wang ni wakike, katika kumbana uyo mdgo angu ndo akanitajia mtu aliyempa mimba
 
Nakumbuka huu ushauri niliwahi mshauri dada yangu matokea yake alijuta baadae, mtoto akishajua utamu haiwezekani mbaya zaidi akiwa na akili za kubahatisha darasani.
Ndo hivyo,na bila Shaka atakuwa wale washika mkia darasan,amuoze ama amfungulie genge tu
 
Nakumbuka huu ushauri niliwahi mshauri dada yangu matokea yake alijuta baadae, mtoto akishajua utamu hawezekani mbaya zaidi akiwa na akili za kubahatisha darasani.
Darasan sina shida anajiweza ila uku upnde wa pili kanichosha ,kumpiga siwezi na kusoma labda apate t mkopo
 
Darasan sina shida anajiweza ila uku upnde wa pili kanichosha ,kumpiga siwezi na kusoma labda apate t mkopo
Mpe nafasi kwa mara nyingine hiko Kiumbe asitoe na asijaribu, Namuombea ajifungue Salama ili ndoto zake ziendelee.
 
Kwamba alijaribu kuitoa kupita wiki ika rudi tena.. [emoji23][emoji23]iyo mimba niya kisasa eeh
 
Huyo hawezi soma,msitoe hiyo mimba mwache azae apate jukumu la ulezi huenda akapata akil japo kidogo
Hujanielewa mkuu mimba isitolewe kama binti ana nia ya shule, na darasani yuko vizuri apewe nafasi ajifungue alee mtoto wake akishafika umri anaweza muachia mtu aendelee na masomo yake.
 
Mpeleke hospitali,mambo ya kuchokonoa bila weledi sio mazuri,atakufia hapo ufupishe maisha yako ya kuwa uraiani.
 
Mnhh....!! Kesho tutakia umekula sister ako..

Hakuna watu wa kumsaidia!! ?
 
Mpeleke hospitali inayoeleweka.
Kirahisi rahisi hivi hivi unaweza kumzika huyo binti.
Kuwa makini!
 
Huyo kashaijua mikuyenge hawezi soma tena trust me,atafute bwana tu azae alee si anapenda kuukali,aolewe awe na jukumu la maza house.
Nyie si ndio mlikuwa mnapingana na magufuli kuhusu kurudisha shule mabinti waliozaa?
 
Mbona kama uliwahi kutoka hapo kwa daktari maana haya unayotuuliza basi yangepatiwa majibu hapo hapo chumbani kwa daktari.
 
Back
Top Bottom