stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,484
Mleta mada nijibu maswali haya nikushauri, Una umri gani? Wewe ni mtoto Wa ngapi kuzaliwa?
Hivi kumbe wanafunzi wa vyuo vingine ndiyo mnafundishwa kuandika namna hii?
Sisi huku Tarime University unaweza kukatwa panga na lecturer endapo akikuta uandishi wa bata!
Sorry threadman, i did not get anything in your query. Can you re-query?
Kajifunze kwanza kuandika kwa ufasaha.
Wakati mwingine muandiko unamchosha mtu. Matokeo yake Hata ushauri hupati
hahaa! Thanks a lot my dear sis!
Ntaku-hug kiaina, wala usijali!
Niko busy busy na UE, nipe time kidoogo tutakuwa pamoja!
sawa mamii? see you!
university student ?
Tutafika kweli ?