Naomben Msaada

danione

Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
58
Reaction score
5
Nimeweka memor yangu posword sahv nmezisahau posword nkiweka kwenye Pc haionekani naombeni nisaidieni nifanyeje
 
duh! Sasa ata akisaidiwa ameshakwambia kaweka memory yake pass. Na ameisahau. Unadhan atakumbuka kurudi apa? LOL!
 
siwezi sahau.........hiyo memor niliweka paswrd mwaka jana leo ndio nimeanza kuitumia nikijaribu paswrd nilizokuwa natumia hazikubali
 
siwezi sahau.........hiyo memor niliweka paswrd mwaka jana leo ndio nimeanza kuitumia nikijaribu paswrd nilizokuwa natumia hazikubali
ok mkuu was just jokin. Ni memory card au? Memory gani mkuu? Na kama memory card ni ya simu, camera, e.t.c?
 
  • Ni aina gani ya memory card? (MirroSD , MiniSd , etc )
  • Unatumia aina gani ya simu?

Soma som artcle km hizi
MICRO SD card - Lost password | Kioskea.net

Wengine wanasema hivi


Thanks to google


otheriwise kama haina data muhimumu nenda kaiformat tu hiyo memory. Ukiofrmat may be itafomat the unnown passsword too
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…