Naomben msaada wadau

Sweetlol

Senior Member
May 9, 2011
102
24
Mimi ni mschana wa miaka 24 nimeishi na mpenzi wangu nna miaka 3.tuna muda wa miezi mi nne hatuelewani.amekua na mambo mengi,kupiga simu mpaka niulize smtymz mara apitishe siku.mm kwa sasa niko mkoa tofauti nae,mara nyingi nikiwa nae nnakuta sms za wadada za mapenz nikimuuliza anakataa.juzi nimepata habari yuko na mdada mmoja ambaye nnliwa kikuta sms zake.namuuliza anakua mkali.nifanyaje jaman nnaumia sana coz nnampenda kiukweli na sintopenda kumpoteza.
 
Achana nae, tafuta mwingine mbona wapo wengi tu hata hapa jf wapo...
 
Kwanza karibu sana jamvini. pole kwa kuumia moyo lakini unatakiwa uface the reality tu hata kama unampenda sana. Chagua ama kuacha kumfuatilia na kuendelea naye hivyohivyo tu ili usiumie au nawe changanya madawa na mmwagane. But you are still so young, why can't you try someone else?
 
Kama hakuheshimu maana yake hakupendi!Achana nae ukapende utakapopendwa usije ukapata presha ya kujitakia!
 
huyo mtu hakutaki.deep down ukweli unaujua ila kwa kuwa unampenda,ukweli unajaribu kuupotezea.unataka ushahidi gani mwengine na tayari unajua hauko peke yako?kama upo tayari kuishi maisha ya stress,presha na mawazo yasiyoisha kwa ajili yake,endelea kuwa nae
 
Mimi ni mschana wa miaka 24 nimeishi na mpenzi wangu nna miaka 3.tuna muda wa miezi mi nne hatuelewani.amekua na mambo mengi,kupiga simu mpaka niulize smtymz mara apitishe siku.mm kwa sasa niko mkoa tofauti nae,mara nyingi nikiwa nae nnakuta sms za wadada za mapenz nikimuuliza anakataa.juzi nimepata habari yuko na mdada mmoja ambaye nnliwa kikuta sms zake.namuuliza anakua mkali.nifanyaje jaman nnaumia sana coz nnampenda kiukweli na sintopenda kumpoteza.

Pole sweetlol kwa matatizo yako, najua unahitaji ushauri na utapewa, but kukurahisishia fuata ushauri wa Dena Amsi... mana ndo short cut na inagusa tatizo lako moja kwa moja....
 
Hivi we asiyekupenda we una mpendea nini? Hivi nyie dada zetu mpoje mbona mnakua wajinga kiasi hiki?mbona wanaume wapo wengi au mpaka akupe UKIMWI? Atakuja atakae kuthamini na kukueshimu na kukupenda for the rest of your life.Huyo mwache.
 
Najua unashindwa kumwacha sababu unahisi hakuna mwingine zaidi ya huyo anayekuumiza...Ukweli ni kwamba,ni bora ukavumilia maumivu ya kumwacha kuliko maumivu ya kumfuma ''live'' au kuachwa kwenye mataa soon.''Pole Sana,ndio ukubwa huo''
 
Kama hakuheshimu maana yake hakupendi!Achana nae ukapende utakapopendwa usije ukapata presha ya kujitakia!

Na huu ndio mwanzo wa kuanza kutengeneza msururu wa wapenzi,
mpaka umpate huyo sijui anaetimiza ndoto zako lol,tayari umeshakuwa ndembe ndembe!!!!!!
 
Mimi ni mschana wa miaka 24 nimeishi na mpenzi wangu nna miaka 3.tuna muda wa miezi mi nne hatuelewani.amekua na mambo mengi,kupiga simu mpaka niulize smtymz mara apitishe siku.mm kwa sasa niko mkoa tofauti nae,mara nyingi nikiwa nae nnakuta sms za wadada za mapenz nikimuuliza anakataa.juzi nimepata habari yuko na mdada mmoja ambaye nnliwa kikuta sms zake.namuuliza anakua mkali.nifanyaje jaman nnaumia sana coz nnampenda kiukweli na sintopenda kumpoteza.
Tukutane pm nikupe mwarobaini, pole sana!
 
Pole sana mpendwa kwa kuumizwa unapopenda,unachotakiwa kuelewa ni kuwa huyo kaka hana mapenzi ya dhati kwako so naomba usipoteze mda wako tena kwa huyo kaka bado hujachelewa kuwa na imani kuwa wako uliyepangiwa na mungu kuwa nae bado yupo jitahidi zidisha maombi na muombe mungu akutangulie ktk hilo, nina imani utafanikiwa mpenzi
 
Mimi ni mschana wa miaka 24 nimeishi na mpenzi wangu nna miaka 3.tuna muda wa miezi mi nne hatuelewani.amekua na mambo mengi,kupiga simu mpaka niulize smtymz mara apitishe siku.mm kwa sasa niko mkoa tofauti nae,mara nyingi nikiwa nae nnakuta sms za wadada za mapenz nikimuuliza anakataa.juzi nimepata habari yuko na mdada mmoja ambaye nnliwa kikuta sms zake.namuuliza anakua mkali.nifanyaje jaman nnaumia sana coz nnampenda kiukweli na sintopenda kumpoteza.

Nampenda kiukweli na staki kumpoteza!matatizo mengi kwenye mahusiano huanzia hapo,mwenzio anakuonyesha dhahiri kuwa kakuchoka kisha wewe umo tu eti 'unampenda na hutaki kumuacha' hutaki kumuacha vipi wakati wewe ndo ushaachwa? it takes two to tangle.wewe ukipata nafasi ya kukutana mpe live kwamba wewe na yeye basi kila mtu aangalie ustaarab wake,that will set you free. Na nikwambie sweetlol mwanaume akikuchoka basi kadiri unavyomg'ang'ania ndo unavyozidi kujidhalilisha,take it from me.
 
Na huu ndio mwanzo wa kuanza kutengeneza msururu wa wapenzi,
mpaka umpate huyo sijui anaetimiza ndoto zako lol,tayari umeshakuwa ndembe ndembe!!!!!!
Kwahiyo mwenzake aunganishe yeye akisubiri???
 
Yaani unauliza ufanyeje na ushahidi unao kuwa jamaa yako amekuchoka? JIVUE GAMBA MAANA HIZI NI ZAMA ZA KUJIVUA MAGAMBA,, WALA USIMPE SIKU 90 WE VUA GAMBA KULA KONA.

Waswahili walisema, akufukuzaye hakwambiii tok, au wewe unasubiri mpaka uambiwe ondoka? Soma nyakati, na twanga kote kote :wave:!
 
Achana nae huyo, and move on dear..kwani anaweza kukuletea maradhi ya ukimwi cus jamaa anaonekana sio mwaminifu.
 
Hapo ulipo dada wewe umedata na mapenzi. Maana umeshakuta sms, umeshaambiwa na watu, bado unaenda kumuuliza kwa nini? Mimi nilipokuwa kijana kama wewe hamna aliyepata bahati ya kuulizwa. Nilikuwa nikipata evidence kama zako napiga chini boyfriend kwa sms, kwani nilijua tukionana face to face akawii kuanza kunililia.

Sasa wewe endelea kupoteza muda wako. 24years ndio muda dada unang'aa kila mtu anakupa salamu. Kaa na huyo cheater utashtukia umegota 35 years na yeye kajiolea mwanamke mwingine.

Wadada wengi wanakosa waume wa kuwaoa (wale wanaopenda sana kuolewa) kwa sababu ya ku date wanaume wa design hiyo. Na hata jamaa akikuoa jua kuna kimada from day one of your marriage.

Inabidi wakati mwingine ukubali kufanya maamuzi magumu.
 
Back
Top Bottom