Naomben msaada jamani, chuo gani cha serikali kitamfaa?

Naomben msaada jamani, chuo gani cha serikali kitamfaa?

kingzard

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
637
Reaction score
809
Nina mdogo angu alipata 4 ya 27 yuko nyumban adi saiv.. Naomben ushaur ni chuo gan kinamfaa cha serikali kwa sabab ataki kurudi shul tena na alisoma arts na ana F ya mathe tuu
 
Kama vipi qende chuo cha serikali za mitaa/utawala Hombolo dodoma kitamfaa mkuu.. pass 4 tu anachukuliwa
 
Back
Top Bottom