Naomben kaz ya udereva bajaji wakuu

Naomben kaz ya udereva bajaji wakuu

mwakyindi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2018
Posts
1,627
Reaction score
2,216
Mimi nikijana nipo mbeya iyung Nina miaka 24 naomben kaz ya udereva bajaji Nina uzoefu wa miaka 3 nitakua nakuleta elfu30 kwa siku namba yang0766857120
 
Mimi nikijana nipo mbeya iyung Nina miaka 24 naomben kaz ya udereva bajaji Nina uzoefu wa miaka 3 nitakua nakuleta elfu30 kwa siku namba yang0766857120
Mkuu kwa hiyo hesabu utapata tu bajaji kikubwa uwe muaminifu.

Kila lakheri mkuu, ufanikiwe kupata Bajaji.
 
no mkowa wowote mkuu hata nje ya Tanzania nafanya
Kajaribu Tunduma au Makambako.
Kwa hapo Mbeya Mjini inabidi ujichanganye mitaa yenye bajaji nyingi Kama Isanga,Kabwe na Soweto. Hiyo kazi yako unaipata kwa kufahamiana na watu si kukaa nyumbani.
 
Kama unaweza uwe unashinda kwenye vijiwe vyao mitaa ya Isanga,Mwanjelwa au kwa Mafundi bajaji wakubwa utapata fununu za bajaji ambayo inatafuta dereva.

Pia,unaweza ukaomba hata deiwaka kwa bajaji hizo zinazopiga njia ya Sinde kwenda Meta Hospital hao madereva wengi wanafanya kazi kimwinyi akipata hela kidogo yeye anatulia anakuachia utamletea pesa baadae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom