Fanya kazi inayotokea,on the way utapata inayoweza kupatia nafasi na hela ya kusoma degree ya juu bila kusumbuliwa na hizo GPA kisha ukaja kuwa katik position ya kucompete na hao unaowaona wana GPA za kutisha leo.
Wapo amarafiki zangu wengi tuu walipata matokeo mabaya njiani ktk form na wengine form 6,na wengine chuo ila kuna waliokuja fanya vizuri mbele zaidi ya waliopita moja kwa moja.Na leo ndio wanawapangia kazi kama si kuwafundisha.
Usipoteze muda fany akazi inayokujia, hata huo ualimu kwa muda si mbaya, ila shule zenye watu wa mataifa mbalimbali ili kujiweka karibu na chances za kujiendeleza, kupata exposure hata za muda mfupi.Shule za kibongo hata mishahara hakuna kwa vile mkurugenzi kanunua prado zitaku frustrate.