Naombea Simba ipangwe na Experence de Tunis

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,019
Nikili kwamba sikuwa mfatiliaji wa hii michuano toka nimezaliwa ila nimeanza mwaka juzi. Ile fainali ya mwaka jana wakati exprence de tunis wanapindua matokeo kibabe ndo ilinishawishi kuwa mpenzi mkubwa wa hii michuano.

Naona simba nao mwaka huu wameniongezea utamu wakuendelea kufatilia hii michuano. Nakwakweli wapenzi wa simba mnisamee maana mimi ni yanga damu ila naona mnaomba robo fainali mungu awaepushe na hii timu lakini mimi naomba mungu awape hii timu ili na mimi nitimize ndoto yakuwaona live awajamaa bila kujali matokeo.

Maana mnaweza pangwa na mamelondi mkatolewa bule kabla ya kukutana na awa washenzi.Mungu nakuomba unipe tumaini la moyo wangu.
 
Toka hpa ukajifunze kuandika eboooh

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Where should I go bro? Kwani wewe upendi kuwaona wale jamaa?
 
Da!!! watanzania tulio wengi hasa wapenzi wa Yanga mioyo yenu ni migumu sana!! hamtaki kuamini jambo hata kwa kuona. bado uwezo wa simba hamuuamini: sijui simba wafanye lipi lililo kuu ambalo litawafanya muamini. simba inazidi kusogea bado nyie mnang'ang'ana na kuhamisha vigingi vya kuzua tusifike huko. kwa taarifa yenu ni kwamba malengo ya simba yalikuwa ni kuingia hatua ya makundi na kama sio robo fainali. na kwa bahati nzuri pamoja na husuda zenu tumeweza. tumezifunga timu kubwa kabisa za tanzania kama vile yanga na azam, tukazifunga timu kubwa za afrika kama vile al ahaly, vita club na Nkana lkn bado tu hamuamini, mnazidi kusogeza magoli...
Simba ni timu ya kawaida kama timu zingine japo ina uwezo na imejipanga vizuri kimashindano. sio lazima ishinde timu zooote duniani ndo mlidhike nyie vyuraaaa!!!!
 
Umenifikilia vibaya bro nimesema binafsi napenda kuwaona experence de tunis live kwahyo namuomba mungu mpangwe nao robo fainali ili moyo wangu ulizike wala sijasema lazima mfungwe mnaweza shinda lkn naomba mcheze nao kwakweli.
 
Wanaitwa Esperance de Tunis siyo Experience de Tunis.
Nikili kwamba sikuwa mfatiliaji wa hii michuano toka nimezaliwa ila nimeanza mwaka juzi. Ile fainali ya mwaka jana wakati exprence de tunis wanapindua matokeo kibabe ndo ilinishawishi kuwa mpenzi mkubwa wa hii michuano.

Naona simba nao mwaka huu wameniongezea utamu wakuendelea kufatilia hii michuano. Nakwakweli wapenzi wa simba mnisamee maana mimi ni yanga damu ila naona mnaomba robo fainali mungu awaepushe na hii timu lakini mimi naomba mungu awape hii timu ili na mimi nitimize ndoto yakuwaona live awajamaa bila kujali matokeo.

Maana mnaweza pangwa na mamelondi mkatolewa bule kabla ya kukutana na awa washenzi.Mungu nakuomba unipe tumaini la moyo wangu.
 
Umenifikilia vibaya bro nimesema binafsi napenda kuwaona experence de tunis live kwahyo namuomba mungu mpangwe nao robo fainali ili moyo wangu ulizike wala sijasema lazima mfungwe mnaweza shinda lkn naomba mcheze nao kwakweli.

Sasa ndio uwahamasishe mashabiki wenzio wa huko utokako wawe wanaiunga mkono Simba inapokuwa kwenye mashindano ya kimataifa, maana ndio timu pekee nchini inayotupatia uhakika wa kuviona vigogo vingi hapa barani. Wengine huwa ni raundi mbili tu, tena dhidi ya timu dhaifu dhaifu, zinag'ola.

Kwa kutuletea Nkana, AS Vita, na Al Ahly, sisi Watanzania tunaiambia Simba, mwabheja sana.

Ombi la ndugu huyu na likubalike na Mungu, maana nijuavyo mimi Simba inapenda sana damu za Waarabu hasa mabingwabingwa vile
 
ISOMWE KWA SAUTI...
Ntajing’ata mgongoni Simba wakienda Nusu fainali ya ligi ya mabingwa...
 
Mwenzako aliweka mke ikabidi aombe msamaha. Huo mchezo wa kujing'ata mgongoni umeanza lini?
Huwa mnaahidi halafu mwisho wa mambo mnajiliza kama watoto wadogo.

Kila ahadi nilio ahidi humu niliitekeleza... fuatilia
 
Mke mkubwa anamchagulia mume wake amuoe mke mdogo yupi!
Walianza na Mbabane ,Nkana, Saoura, AL Ahly na As Vita.
Machinjioni sijui itakuwa zamu ya nani?
Yaani bado eti hawajakoma tu au ndo kusikia kwa kenge hadi damu zitoke masikioni, kila timu waliyoishabikia wanapigwa wanaaza ngoja ijayo hamtoki tukitoka Oooh mara fitina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da!!! watanzania tulio wengi hasa wapenzi wa Yanga mioyo yenu ni migumu sana!! hamtaki kuamini jambo hata kwa kuona. bado uwezo wa simba hamuuamini: sijui simba wafanye lipi lililo kuu ambalo litawafanya muamini. simba inazidi kusogea bado nyie mnang'ang'ana na kuhamisha vigingi vya kuzua tusifike huko. kwa taarifa yenu ni kwamba malengo ya simba yalikuwa ni kuingia hatua ya makundi na kama sio robo fainali. na kwa bahati nzuri pamoja na husuda zenu tumeweza. tumezifunga timu kubwa kabisa za tanzania kama vile yanga na azam, tukazifunga timu kubwa za afrika kama vile al ahaly, vita club na Nkana lkn bado tu hamuamini, mnazidi kusogeza magoli...
Simba ni timu ya kawaida kama timu zingine japo ina uwezo na imejipanga vizuri kimashindano. sio lazima ishinde timu zooote duniani ndo mlidhike nyie vyuraaaa!!!!
Ila kumbuka nkama , al ahly , as soura na vita club zote pia zilikufunga pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom