Salut kwenu great thinkers wote wa JF.
Kama ilivyoada jana nimepandisha Uzi humu jukwaani kuiombea Mabaya klabu ya YANGA ili apoteze game yake dhidi ya Far Rabat ila Dua yao ikawa kubwa kushinda yangu wakapata matokeo. Ila nawaa nawaahidi hii timu ya YANGA haitatoboa kwenda stage inayofuata, nawaakikishieni hili kupitia jina la Yesu kristo na Mtume Mohammad.
Turudi kwa Simba sasa! Ya Rabbi mola wetu muumba wa nchi na mbingu nakuomba hii timu ya Simba sports club yenye makao yake mtaa wa msimbazi afungwe kwa aibu katika mechi yake dhidi ya Petro atletico. Naomba yote haya yatimizwe kwa sababu
1. Mauaji ya October 29 hii timu haikuwa kulaani vitendo hivi viovu vya serikali dhidi ya vijana wa TANZANIA wanaopambania haki zao za msingi
2. Hii timu pamoja na nyingine za ligi kuu ya Tanzania zimekuwa zikidumaza akili za waTanzania na kuwafanya kuwa vipofu.
Tukutane December 9.
UPDATES: SIMBA 0-1 PETRO ATLETICO
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
ALHAMDULILAH MWANAKONDOO AMESHINDA