Naombe ni msaada tafadhalini

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
990
800
Poleni kwa miangaiko yenu wana JF na pia pressure za kusubiri majibu ya mikopo lakini naomba kuuliza hivi, Heslb kama wakikuchagua kukupa mkopo, lazima uwe na account benki gani ni uwe na NMB, CRDB,NBC au yeyote maana mimi ninayo ya Stanbic ..Ahsanteni
 
BENK yoyote ile unaweza kutumia ila benk nzuri ni ile ambayo heslb wana account yao kwani ndio hela inaingia haraka kuliko wengine
 
Nashukuru sana kwa majibu yenu wakuu ..Majina yakitoka tu na nikibahatika kupata ntafungua account CRDB
 
Back
Top Bottom