Naombe mnifahamishe ndungu zangu?

Naombe mnifahamishe ndungu zangu?

chaulah22

Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
29
Reaction score
5
Hivi ni kwa nini mwanafunzi mwenye ufahulu wa pass 4 yaani DDDD,ana option ya kwenda chuo,lakin mwenye ufahulu wa Credit 3 yaani CCC ambazo zimebalance comb ana kibali cha kwenda advance ila kwenda chuo hana kibali? Hii imekaaje?
 
kwanza jifunze kuandika kiswahili vizuri vitu vinavyoeleweka
 
Hivi ni kwa nini mwanafunzi mwenye ufahulu wa pass 4 yaani DDDD,ana option ya kwenda chuo,lakin mwenye ufahulu wa Credit 3 yaani CCC ambazo zimebalance comb ana kibali cha kwenda advance ila kwenda chuo hana kibali? Hii imekaaje?
Chuo Gani ?
 
Chochote kile ngazi ya certificate,course za law au it
 
Back
Top Bottom