Naomba wataalam wa ku-root tecno

Naomba wataalam wa ku-root tecno

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Habari za mchana wana jamvi. Naomba kujuzwa ipi ni njia nziri kwaajili ya kuroot simu ya Tecno c7
 
Habari za mchana wana jamvi. Naomba kujuzwa ipi ni njia nziri kwaajili ya kuroot simu ya Tecno c7
mkuu kuroot simu za tecno mara nyingi inapelekeaga kuziharibu....inakua ukiwasha inaanza kuoptimize application zote za sim na ina weza kuchukua hata dakika 5 kuwasha tu simu yako
 
kuroot ni kitendo cha ku restore simu ili uwe na mamlaka kama ya developer wa simu...lengo kubwa la kuroot ni pale ambapo baadhi ya vitu vinasumbua kufunguka mpaka uwe na developer permissions.
Nadhani ni sawa na Kui-restore (factory restore) Simu yako...!

Nashukuru kwa kunipa Elimu Mkuu..
 
Nadhani ni sawa na Kui-restore (factory restore) Simu yako...!

Nashukuru kwa kunipa Elimu Mkuu..
Ni ku factory restore sema factory restore inaianzisha simu inakua kama ulivoinunua mpya ila kuroot unamuondolea mamlaka kabisa aliyeitengeneza hiyo simu na kujipa ww mwenyewe
 
Ni ku factory restore sema factory restore inaianzisha simu inakua kama ulivoinunua mpya ila kuroot unamuondolea mamlaka kabisa aliyeitengeneza hiyo simu na kujipa ww mwenyewe
Unamaanisha ni Simu (android) zote zina hiyo Option (rooting)...!!?
 
Simu ya android ukiiroot unaweza kuirudisha tena kama mwanzo kabla ya kuiroot
 
Back
Top Bottom