Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
- Thread starter
- #21
Sasa haya mambo ya kifamilia kuyaweka hadharani ndio nini!U bet! It was a mining exploration project.
Uranium inasakwa selous ambayo ni maalum for game hunting. Huyu dingi alizidisha kuchabo wakina aunt Grace tukampeleka selous ili akachabo wanyama hadi mama arudi. Kumbe ndo kwanza kaishia kwa vidosho vya kidhungu!
Naomba u-delete hayo maneno yako kabla yule mwenzako Cantalisa hajayaona, maana najua na yeye akifika hapa hatakosa la kusema.
Hebu nitunzieni heshima kidogo basi ili na mie roho initue!