Naomba wajuvi mnijibu

Naomba wajuvi mnijibu

lusanasaimon

Senior Member
Joined
Jan 19, 2023
Posts
108
Reaction score
264
Kama dawa kama kawa. niende kwenye swali bila kupoteza muda kwa wajuvi au ambao wamesha kutana na hili.

Hivi wanawake wanamaanisha nini pale unapokua nae kwenye mahusiano anakuona jau (fala) halafu ukimpiga chini (ukimtema) kabla hata mwezi haujaisha anaanza kukusumbua hata kwa kukununulia vizawadi, au kwakujiliza kwamba umsamehe mrudiane?
 
Inamaana kule walipopategemea hakuna nafasi, ndio anajirudisha kwako; kwa hiyo piga chini.
 
Kama dawa kama kawa. niende kwenye swali bila kupoteza muda kwa wajuvi au ambao wamesha kutana na hili.

Hivi wanawake wanamaanisha nini pale unapokua nae kwenye mahusiano anakuona jau (fala) halafu ukimpiga chini (ukimtema) kabla hata mwezi haujaisha anaanza kukusumbua hata kwa kukununulia vizawadi, au kwakujiliza kwamba umsamehe mrudiane?
wa hivyo unakula mbussu kisha unamtema, akirudi tena hivyo hivyo

una hit mpaka yeye ndo ana run
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom