Emma Mnyama JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 201 Reaction score 183 Jan 27, 2018 #1 Nyimbo zake kila ukisikiliza zinaingia hadi kwenye sakafu ya ubongo. Lakini siku hizi sijui nini kimempata, naomba wadau mrudisheni kwenye mziki 20% Mungu akukumbuke, akuinue tena
Nyimbo zake kila ukisikiliza zinaingia hadi kwenye sakafu ya ubongo. Lakini siku hizi sijui nini kimempata, naomba wadau mrudisheni kwenye mziki 20% Mungu akukumbuke, akuinue tena
monde arabe JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 8,888 Reaction score 13,644 Jan 27, 2018 #2 Atarudi 2 usihofu bado wanyonyaji wanahangaika na Mondi'
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,921 Reaction score 15,981 Jan 27, 2018 #3 Serikali ndio inamvutisha mibangi?
T trry JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 292 Reaction score 194 Jan 27, 2018 #4 Niponaye hapa anajiliavyake
Emma Mnyama JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 201 Reaction score 183 Jan 27, 2018 Thread starter #5 trry said: Niponaye hapa anajiliavyake Click to expand... Mpe salamu, mwambie bado tunamkubali. Arudi kwenye gem
trry said: Niponaye hapa anajiliavyake Click to expand... Mpe salamu, mwambie bado tunamkubali. Arudi kwenye gem
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,255 Reaction score 15,833 Jan 27, 2018 #6 trr yupo kimanzichana anakula mananasi