Ingia google kuna taarifa za ukweli na za uhakika Ila yangu ni haya
Usije ujafanya service vichochoroni
Tumia lubricants sahihi zilizoandikwa kwenye gari
Fanya diagnosis kwa mtu anayejua kusoma codes na tafsiri zake
Weka mafuta kwenye vituo kama Engen Total Puma Gapco