Naomba uzoefu kuhusu Written test ya UNHCR

GoodDady

Member
Mar 28, 2019
91
42
Habarini wana JF,

Naomba mwenye uzoefu na written Test za UNHCR kwenye program za Elimu.

Ahsanteni.
 
Hiyo nafasi uliyoiomba kama kwenye Kozi ulizoisoma imetajwa tafuta notisi za hilo somo aisee, kwenye written huwa inaletwa ngoma kama UE kabisa.

Yaani unatakiwa ujipange balaa hiyo sikufichi nimeshiriki kama mbili hivi za written uzuri sie wengine hatupambanii kupata A+ tunacheza na pass mark ili kuingia kwenye Oral interview.

Cha msingi tafuta notes za hiyo position usisahau kusoma pia Duties and Responsibilities za hicho unachataka kwenda kukifanya.Ukizingatia hayo hope unaenda hatua inayofuata ya Mahojiano.
 
Shukurani sana mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom