Naomba uzoefu katika hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba uzoefu katika hili

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by zethumb, Mar 8, 2012.

 1. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  habari wana jf? naomba kusaidiwa katika hili; kazi imetangazwa kwa kiswahili je narusiwa kuomba kwa kiingereza!
   
 2. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  unaweza,sababu english ndo lugha ya biashara,hakimu mkazi ni resident magistrate.
   
 3. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  resident magistrate mahakama ya mwanzo? kazi ipo!
   
 4. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  Cjakusoma,unataka maana ya mahakama ya mwanzo? Kwa kimombo?
   
 5. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  hapana Don nilikua puzzled na taarifa za RM kwenda PM!
   
Loading...