Naomba usinitanie

Nimecheka! Yaani Tundu Lissu anavyomkomalia Job Ndugai, imebidi Ndugai aombe amani. Tazama body language ya Ndugai!


Mtani wetu si aliwahi kusema kuwa ni Bora Dk Slaa aingie Ikulu kuliko Tundu kuingia Bungeni..??
 
Hata Mimi kila nikiangalia hii picha huwa nacheka kweli. huyu ndugai simpendi kabisa, natamani Tundu angempa za kichwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…