Aiseee! Bora umejua ndugu! Lea mwanao na nakuambia kuna aliye kwa ajili yako anakuja! Nilishakutana na situation hii ila nilijiambia good to goooooo! Na niligoo kweli hadi sasa niko kwenye ndoa ya aman na Upendo halafu alivo kichaa et akaanza kunitafta adai turudiane nilimtoaje baruuuu! Hadi sasa miaka 5 imepita ypo tuu anatoa macho mtaan! Wanaume bwana sijui wana nini et! Fanya maamuz magumu ya kumsahau japo c rahisi ila inawezekana
Hapa umesaidia wengi bila kujua na utakuwa role model wa wengi. Kuzaa sio mwisho wa maisha.