Naomba ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Exploitee, Aug 12, 2010.

 1. E

  Exploitee Member

  #1
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF!
  Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, nimeoa na ndoa yangu ina miaka miwili hivi sasa. Na nina mtoto mmoja.
  Kabla sijaoa, mimi na mpenzi wangu tulikuwa tunaweza kufanya mapenzi usiku mmoja zaidi ya round tatu. Siku moja kama miezi miwili hivi imepita, nilishiriki tendo na mke wangu, baada ya round ya kwanza, nikapumzika kidogo, mashine ikashtuka tena, lakini nilipokuwa nataka kuingia tu, ngoma ikalala. Basi niliogopa sana, nikapatwa na wasiwasi sana, na wala haikusimama tena.
  Kitu hiki kiliniumiza sana, nimekuwa na mawazo and im so depressed!!. And up to now, nimekuwa nikienda round moja tu, nikijaribu ya pili nakuwa na wasiwasi sana, hata kama ilikuwa ime errect inalala.

  Ninachouliza wana JF ni kawaida kwa married kufikia hatua ya kuchapa kamoja tu au nintakuwa na tatizo?? Sijawahi kuwa na uhusiano nje ya ndoa tangia nimeoa.
  Naomba ushauri ndugu zangu, kwa maana sina raha hata kidogo, hivi sasa hata nikimuona mke wangu moyo unalipuka kwa hofu!!!. Muda wote nimezingirwa na hofu, naomba msaada wana JF, kama mtu atajisikia anaweza akani pm, anishauri zaidi au nimpatie hata namba ya simu.

  Regards,
  Exploitee.
   
 2. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Mkuu pole sana. Ni kawaida mwanzo wa mapenzi huwa mnafanya mapenzi sana na kwa muda mrefu. Ila baadae raundi zinapungua na si jambo la ajabu sana kuona hamu inaisha baada ya raundi ya kwanza. Hivyo sio jambo la kuogopa na usiwe depressed!! Ni suala ambao hata mkeo atakua anajua. Ni kawaida kwenye ndoa.
  Jambo lamuhimu ni kusali sana ili ndoa yenu idumu na ijiepushe na vishawishi vya shetani (mfano kujaribu nje ya ndoa n.k)
   
 3. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,430
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  hiyo ndio sababu kuu inayosababisha wanawake kutoka nje ya ndoa zao maana un aishia kumchezea tu wala umfikishi vizuri

  nenda kamwone daktari au vipi mkae na mkeo mlijadili ili tatizo na kulitafutia ufumbuzi inaelekea umekuwa mvivu na hamna post sex romance ambazo zinasaidia sana kuamsha jogoo tena
   
 4. E

  Exploitee Member

  #4
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana hebrew!! Nafikiri hilo ni jambo la muhimu sana, kwa maana, hivi recently kweli nimekuwa na mawazo ya kujaribu nje ya ndoa, but my conviction tries to restrict me!!.
  Thanx for your advice!! I really appreciate!!
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  punguza mawazo na ondoa hofu ilo ndio tatizo lako kubwa vinginevyo upo fiti alafu kingine mwanzo ulikuwa unachpa sana kwani mwanzoni mlikuwa mnaiba amkai pamoja ss ivi mpopamoja unamzoea
   
 6. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  We kijana wewe........! nafikiri unamatatizo zaidi ya kisaikolojia wewe! je, mke wako ana umri gani? je, mkeo anafahamu sana mavitus kuliko wewe? je, unamchukuliaje mkeo (superior to you?)!

  2me wewe huna tatizo lolote la kiafya, upo fit kabisa.....tatizo lako ni hilo la kutojiamini tu! Wakati mwingine inbidi ujisemee moyoni that ''mimi nikudumen bana, lazima nimdhihirishie my dia hilo, lazima nimdoo inavotakikana''.....then unatakiwa kuconcetrate sana kny issue......!
   
 7. E

  Exploitee Member

  #7
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanx Dr, but kila nikijaribu kupunguza mawazo na hofu, nashindwa!! Im really confused!!
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  kutoka nje ya ndoa sio suluhisho tena unaweza kuumbuka zaidi kaa na mpenzi wako zungumzeni pamoja namna ya kuboresha na ikibidi badilisheni mazingira nendeni hotelini
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  lazima ukae na mpenzi wako na pia jiamini kuwa unaweza ondoa hofu zote sio za mapenzi tu hata za maisha
   
 10. E

  Exploitee Member

  #10
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mke wangu ana umri wa miaka 30.
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  umri si kigezo kwani unaweza kuoa{olewa na mtu alokuzidi au ulomzidi zaidi kujiamini ni kuzuri
   
 12. 2my

  2my JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole kwa tatizo
  kwa wale wenye experience na hizi mambo ndo wakati wenu!!!!!
  na cc 2pate japo mwanga kidogo!
   
 13. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ok angekuwa na umri mkubwa kuliko wewe pengine ningefikiri unamgwaya fulani, km umri mdogo then tatizo lako ni kutojiamini.....!
   
 14. E

  Exploitee Member

  #14
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What should i do, to get out of this condition!!
   
 15. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  badilisheni mazingira ya kufanyia yale mamboz!ikiwezekana hata hoteli nzuri na mbali na home kwa siku chache,usipanie,na kama mnakunywa kidogo onjeni siku hiyo!mweleze mwenzio tatizo lako alijue!
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hofu ya nini tena wakati mke wako hapo ndio ulitakiwa uende hadi roundi5 mpaka sita..
  hauna tatizo ila sijui umekumbwa na hofu ya nn?
   
 17. E

  Exploitee Member

  #17
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank you!!
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jiamini kwamba unaweza kumkabili na kumridhisha hofu ya nn jaribu kutendea kazi machache uloyapata na unayoendela kupata lazima tatizo litakwisha kijana
   
 19. JS

  JS JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tell you what Ex, take a holiday break au hata one weekend sawa kama hii inayokuja. Go somewhere exotic kama Bagamoyo hivi au hata Tanga au Morogoro kule Mikumi sijui wapi just anywhere exotic you have never been before with your wife. Relax and do what lovers do. Iwe kama honeymoon hivi. na on top of it all, ujiamini kuwa you are a man and she loves you for what you do to her and you try to take her to the top as she also plays her part sio anakaa tu anakusubiria wewe ufanye. Yaani ni mnajiachia kwa kwenda mbele like there is no life tomorrow. Upo hapo.................halafu uje siku nyingine utupe feedback ya maushauri yetu au sio.
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ubavu atoe wapi fl wakati tangu mwanzo amesema round zake zilikuwa 3
   
Loading...