Naomba ushauri

Hivi hapo umeomba ushauri au umeuliza swali? Mana kwenye heading umesema naomba ushauri lakini ndani ni swali? Haya bwana ngoja tusubiri waje kukupa ushauri/kujibu swali.
 
Kafanye kazi wewe hata wakikupa laki 3 unaongeza uzoefu
 
We si mdada, kapige kazi. Utapata unapokea mara tatu ya hiyo amount kwa mwezi but ukiwa mtoto wa muuujiiiini.
 
Hivi hapo umeomba ushauri au umeuliza swali? Mana kwenye heading umesema naomba ushauri lakini ndani ni swali? Haya bwana ngoja tusubiri waje kukupa ushauri/kujibu swali.

alafu nae anajiita graduate?
 
Hivi hapo umeomba ushauri au umeuliza swali? Mana kwenye heading umesema naomba ushauri lakini ndani ni swali? Haya bwana ngoja tusubiri waje kukupa ushauri/kujibu swali.

Tungekuwa na utamduni wa kujibu kwanza ndo tuulize , hii nchi ingefika mbal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…