Nilimwambia namtafutia pesa ila nikimpa ,anipe kazi na risiti ya malipo...akaniambia sipo siriasi.
hapa hakuna kazi toka nduki vibaya.Habar,
Katika kuhangaika kwangu juu ya utafutaji wa ajira/kibarua, nilikuta tangazo la ajira linahitaj muuzaji na supervisor wa supermarket...sababu nahitaji nikachukua namba za simu,nikawapigia ndipo nkaambiwa nafasi zimejaa na masaa machache baadae watu wanafanya usaili hivyo kama nahitaji nitoe tsh.laki mbili ili nijipatie ajira hiyo.
Sasa naomba niwaulize hii ikoje?
Nawasilisha
Ukitoa tu umeliwa. Hakuna kazi kama hio