Naomba ushauri

HIPPO

Member
Joined
May 4, 2012
Posts
79
Reaction score
16
Niko na mpenzi wangu mwaka wa 11 sasa,
Tumetambulishana kwa ndugu na jamaa za pande zote mbili.
Mara nyingi tuna shiriki sherehe mbalimbali pamoja na misba, kilicho tokea mwanzo mwa mwaka huu nikiwa naelekea nyumbani kwake nika kutana yeye pamoja na kijana mwingine wanasindikizana aliponiona Alishtuka kidogo na kumtambulisha yule kijana kwangu kwamba mimi nirafiki yake na yule kijana ni kaka yake. mie nikaridhika shingo upande, siku nyingine akijua kwamba nitakua mbali akanitaarifu kwamba anampeleka yule kaka yake shambani kwake na watashinda wote huko siku nzima , nikawwapa dereva wangu. walipofika huko wakamwambia dreva yeye arudi mjini.
Naomba ushauri wana JF
1. Je inawezekana yule kijana ambae kwa miaka yote hajawahi ata kumtaja akawa nduguyake?
2. kule shambani walienda kufanya nini mpaka wakamruhusu dereva aondoke?
3. kwa miaka yote tulkua tuna tembelea rim je nianze kutumia C? au niachane nae?
 
Kuna mambo mengi ya kutazama hapo.Ila kuwa makini na mienendo yake

Nikipata muda mzuri nitakuja kukushauri vyema!
 
Miaka 11 ni mingi sana aisee............si mngekua na watoto kama 3 hivi......khaaaaaa??
 
Thats too much!
Tofauti wa umri mkoje? Manake kwa miaka yote hiyo isije ikawa kiwango kimeshuka halafu haoni dalili ya ndoa, then aki 1+1, anapata jibu! Nadhani hata wewe jibu unalo! Fanya hima ohooo
 
Duh miaka 11 mtoto anazaliwa na anaenda sekondari kabisa...
 
Kwa kweli kama ni kumtumia naona itakuwa imesoma sana geji yake Duh! Kwa kweli hata ingekuwa ni mm ningekumimina, Huyo keshakuona huna muelekeo wa kuanzisha maisha ya pamoja(Ndoa) Ndiyo maana kaona bora ajitafutie kijana.
 
Mmmmh...!

Kinachowafanya msioane muda wote huo ni nini?

Yawezekana amekuona husomeki..!!
 
Mmh inawezekana akawa kweli kaka yake but na ww miaka 11 unamchunguza tu au huna mpango nae? Mda mrefu sana huo kama uko serious fanya uamuzi mfunge ndoa and if not muache aolewe usimpotezee muda
 
Ndugu hebu funguka vizuri huyo ni mpz maana ya mchumba au?hauko siriaz miaka 11 ni mingi sana kakuona huna ramani, pili usiende kwa kudhani ww mfungukie muulize kwa upendo kwmb kwann alimrudisha dereva na ww ulijiskia vibaya juu ya hilo,majibu yatakupa mwelekeo.akiwa mkali ujue mh!! Tatu C ni muhimu sana hasa kama ndoa hamna.
 
Labda kaona hauna mwelekeo sasa miaka 11 yote unamzeesha tu binti wa watu na kumzibia
 
imagine 11 yrs kavukavu, alafu no matunda

au mpo kwenye mpango wa nyota nyekundu?

kama sio hofu inatanda juu.
 
huyo dada hana kosa kbs ht km yule angekuwa mpnz wake.
Miaka 11 yote hiyo eti umemuweka na kumtumia unavyotaka....loh!!!!!!! mwishowe si atazeekea kwny huo sijui uchumba.
 
Miaka 11 ni mingi sana aisee............si mngekua na watoto kama 3 hivi......khaaaaaa??

Tena wa kwanza angekuwa kama si darasa la sita basi ni darasa la nne!
Sasa fuatilia nyendo zake sana huyu "mpenzi" wako. Na kwa kuwa umekuwa ukitembelea rim muda wote na kama umeshtuka juu ya nyendo zake anza kutumia tubeless wakati unachunguza.....
 
kudadeki 11yrs au wewe ndo ulimtongoza nini au wewe ndo unamweka mjini sasa kisa nini cha kukaa miaka yote hiyo akitafuta mwingine hata usimulaum maaan akitambo waweza kuachwa cku za uson
 
please tell me you guys started dating when you were like 15yrs old or something...11 f**kn years!!! nadhani mshaanza hata kupoteza "wisdom teeth" sasa...
 
daaah uchumba wenu tuwafanyie na sherehe ya jubilee huu
khaaa kuna uchumba jamani wengine hata 24 hrs hatujawai kufika
 
please tell me you guys started dating when you were like 15yrs old or something...11 f**kn years!!! nadhani mshaanza hata kupoteza "wisdom teeth" sasa...
chezeiya mauchumba ya bongo wewe? hapo hata tarehe ya ndoa haijulikani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…