Naomba Ushauri.>

Naomba Ushauri.>

Pamoja Dark City,

Na mimi ndo namsubiri ili nimsikie. Akitueleza jinsi alivyofahamu habari za hiyo mimba inaweza kusaidia kupunguza tatizo la kubambikiana mimba kila kukicha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ndiyo maana nikasema kuwa huyu inawezekana ameshindwa kujua kuwa kabla ya watu kujicommit lazima watofautishe mchele na chuya...the tests sometimes are very simple....!!


Babu DC!!
 
Samehe saba mara sabini kwmb ondoa uchungu moyoni mwako na usiwe na kisasi tena,Lakini kwa habari ya kuoa kiukwel hakufai kabisa kumbuka tuKwamba everything is happening for a reason,Mungu kakuonyesha mapema kwmb huyo siyo mke,kwanza kafanya usaliti pili kaamua kutoa mimba kufunika usaliti wake bila kukushirikisha,hapana usizishiriki dhambi zake na laana hiyo ya kutoa mimba,ww bado ni kijana mdogo sana usijitishwe mizigo mizito Tulia kabisa Mungu atakupa wako mwaminifu.
 
Pamoja Dark City, Na mimi ndo namsubiri ili nimsikie. Akitueleza jinsi alivyofahamu habari za hiyo mimba inaweza kusaidia kupunguza tatizo la kubambikiana mimba kila kukicha. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums[/QU= Ok.! Nilinimmc sana Mpenz wang. Nilipo fika Dar, siku iliyofata nikalala nae, siku 3 mbele nikalala nae tena ndani ya wiki 1. Wiki iliyofata akaanza kulalamika khs kutapika na kichwa kumuuma. Nikahc Mimba bt nikamwambia twende 2kachek kama yang nitaitunza bt kama co 2naachana bs 2kaenda hosp. Majibu yanakuja yanonesha mimba ya tena co ya wiki 1 ni wk3. Bs ikabd nimrudishe kao na mkataba ukaisha. Nikaja kuckia amekwenda kuitoa.
 
Hata mm nimeipenda hii hebu funguka zaidi hiyo mimba ya wiki 3 ulitambuaje?
 
Daa mi naona huyo muuwaji hafai kabisa maana kapoteza kiumbe kisicho na hatia.
Huyo hata ukimkubali bado anaweza kuwa fisadi wa mapenzi.Kimbiaaaaaaa1
 
Hata mm nimeipenda hii hebu funguka zaidi hiyo mimba ya wiki 3 ulitambuaje?[/QU= Naitaj ushauri na co Majungu jaman. Ucombe ikukute wewe. Nifanye nini jaman coz bado nampenda. Bt huyo jamaa yang ndio chanzo.
 
We utakua na moyo wa chuma,kacheat,katoa mimba na stl bado unampenda....wat a heart mpk nataman ungekuwa my portifolio!!

Sent from my desktop
 
Huyo hawezi kuwa mwaminifu kwako kamwe!

Nimekuwa na Msichana kwa miaka mitatu tangu chuo hadi 2namaliza. Nikapata kazi Mkoani, nimefanya kazi kwa Miezi 5 nikiwa mbali na Mchumba wang lakin 2mekuwa 2kifanya Mawasiliano kwa kipind chote. Nilitokea kumwamini rafiki yangu (kazn) kupitiliza hadi nikampa Namba ya Shemeji yake. Sikujua kumbe jamaa anapeleka Maneno yakunigombanisha na Mchumba wang, kweli 2likolofishana. Ikabidi nimwombe Mama yangu Mzazi aniombee Msamaha. Yakaisha. Sasa kumbe wakati hoo 2megombana, akaamua Kulala na Mtu mwingine. Nilivyopata rikizo nikaenda Dar kwaajili yake ili 2weze kupanga Mipango ya Harusi. Kwani nilisha mtambulisha Nyumbani. Nilienda nikamkuta anaujauzito wa Wiki 3. Kweli iliniuma ikabidi nimwache na mie nikarud kazin. Bt aliitoa Mimba na Sasa ananiomba Msamaha 2rudiane. Kumpenda bado nampenda lakin nifikiria kilicho tokea Naumia sana. Jaman nifanyeje.?
 
Ninachojua na kwa imani yangu mtu atoae mimba ni mwaga damu isiyo na hatia na hukaribisha laana ndani ya familia au ukoo au jamii yake....so hakuna dhambi nzito kama kuua aiseee...kaa pembeni wacha kujitwika zigo la misumari kwa mihemko ya moyo na ujana.......
 
............. Kama kawaida huyo si mtu anayefaa kuwaa mke.... sio mwaminifu... anakwenda hovyo.... hata akiwa mkeo mambo yatakuwa yaleyale... atakuletea watoto wa nje...hajatulia ... anza jipange upya... Mungu kakunusuru sio wa kwako.....
 
Ninachojua na kwa imani yangu mtu atoae mimba ni mwaga damu isiyo na hatia na hukaribisha laana ndani ya familia au ukoo au jamii yake....so hakuna dhambi nzito kama kuua aiseee...kaa pembeni wacha kujitwika zigo la misumari kwa mihemko ya moyo na ujana.......[/QU= Bt amekwenda kanisani kutubu dhambi. Pia nimemwambia akapime afya zen anambie mjibu.
 
Ninachojua na kwa imani yangu mtu atoae mimba ni mwaga damu isiyo na hatia na hukaribisha laana ndani ya familia au ukoo au jamii yake....so hakuna dhambi nzito kama kuua aiseee...kaa pembeni wacha kujitwika zigo la misumari kwa mihemko ya moyo na ujana.......[/QU= Bt amekwenda kanisani kutubu dhambi. Pia nimemwambia akapime afya zen anambie mjibu.
yawezekana ni kweli kaenda kutubu lakini unajuaje kama alienda ili kukuridhisha na kuweka mambo sawa???
Nachojua laana hasa ya kuua huwa haiishi kwa kutubu ila kwa kuvunja laana maana damu ya mtu yeyote mwenye haki huwa inalia mchana na usiku kudai ilipiziwe kisasi kwa MUNGU...sijui kama weye ni mkristo ila kama ni mkristo tafuta viongozi wako wa kidini wakushauri kwanza mkuu...usije juta maisha yako yote.......
 
Back
Top Bottom